Quantcast
Channel: Vijana FM » People
Viewing all articles
Browse latest Browse all 11

Bongo Old Skool

$
0
0

Sugu katoka mbali!!... Sorry, Mheshimiwa.

GWM ft. II Proud aka Sugu — Yamenikuta:

Kwanza Unit ft. King Kiki — Msafiri:

Mabaga Fresh ft. Juma Nature — Mtulize:

Afande wakati huo ana singo moja tu: Mayowe.

Afande Sele ft. Jay Mo — Mayowe:

Hard Blasters Crew: Unamuona "Heavy Weight MC"?

Hard Blasters Crew — Mamsap:

Imam Abbas ft. Juma Nature — Bila Sanaa:

Kikosi Cha Mizinga — Tunasonga:

Mzuka wa Nature: 3 - 0.

Manduli Mobb ft. Juma Nature — Maskini Jeuri:

Solo Thang ft. Juma Nature — Mambo ya Pwani:

Hamis alikuwa na maswali ya kifalsafa.

Mwanafalsafa ft. Jay Mo — Ingekuwa Vipi:

Madee ft. Mandojo & Domo Kaya — Kazi yake Mola:

Juma Nature — Sonia:

"Babu" akiwa ana 'bling bling'. Sijui ilikuwa Wami? Barabarani hapo mzee!!!

Gangwe Mobb (Inspekta Haroun) — Mtoto wa Geti Kali:

Afande Sele ft. Solo Thang & Profesa Jay:

'Dayamondi' ilikuwa inajaa pomoni. Good old days...

Tunawatakia Christmas Njema na Heri ya Mwaka Mpya!


Viewing all articles
Browse latest Browse all 11

Trending Articles